Hii move itaifanya TBL ipate mtikisiko kidogo maana wana volume kubwa sana ya bia za EABL. Najaribu kuona next move ya makaburu itakuwaje....kununua Serengeti kama walivyofanya enzi zile jamaa walipojenga kiwanda chao Kenya?
Kitu kizuri Kenya ni kuwa wao hakuzaliwa mtu kama balozi Ammi Mpungwe, msifika wa kutuletea wawekezaji kutoka kwa mzee Madiba. Kenya wawekezaji hawa kutoka kwa Madiba wanamtihani kweli kuweza kufanya wanayofanya Tanzania. Huku wanapokewa na red carpet, wakipewa sifa kemkem.