ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 2, 2012 #1 Serengeti kishakula mbili bila na kaaga mashindano ya vijana kuelekea Morocco.. Sijui wataenda kukata rufaa maana ndio mawazo yetu hayo toka gemu ya kwanza. Congo U17 2 - 0 Tanzania U17
Serengeti kishakula mbili bila na kaaga mashindano ya vijana kuelekea Morocco.. Sijui wataenda kukata rufaa maana ndio mawazo yetu hayo toka gemu ya kwanza. Congo U17 2 - 0 Tanzania U17