There are two kinds of Countries in this world,
1) The countries which make the rules and
2) The countries which follow rules.
Tanzania is one of the countries which follow the rules made by other countries. And it is like dreaming when you follow another country's rules while talking of sustainable economy.
We can not be a powerful country economically in the world if we don't want to define our own rules to follow and reach our own target( which is still unkown bado tunabwabwaja bwabwaja tu huku tukiona sehemu ya kutilia mkazo lakini twajifanya[viongozi] hatutaki kuwajibika).
Lets wait hope the new generation will do for us!! and they will make their bright history for the country.
And there shall not be any names of ours in the future if we don't take action now. Viongozi wanatakiwa watoe muongozo, lakini badala yake wanafanya makusudi, wanajipendekeza kila kukicha na hakuna cha maana isipokuwa kutembeza mabakuri na kukutana na masharti kibao.
Its crazy you know!
Kiongozi kama kiongozi anatakiwa kuonyesha wapi tunaelewekea hata kama njia yake ni ngumu lakini kunakuwa na imani kwa watu/wananchi kuwa siku moja watoto/wajukuu watafaida nguvu anayotumia mtu kujenga nchi.
Lakini leo hii unaona kabisa mwananchi anaweza kutoka jasho mwisho wa siku kikundi cha wachache kinafaidi. Hata pale kunakoweza kutuletea unafuu, bado tunaharibu wala kuboresha kwake hakupo tunasubiri wawekezaji waje watupe mwongozo, yaani hapo ndo napochoka na viongozi wetu.
Tanzania as a country, hakuna mamluki yeyote atakuja akasema anataka kutuletea maendeleo, NEVER! Nchi hii itajengwa na watanzania wenyewe na siyo vinginevyo.