Elections 2010 Serekali ya Tanzania Inafanya Kila Jitihada Kubadilisha Uchumi na Kuleta Maendeleo?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
114
Leo Tunaona Jinsi Gani Inchi Zilizoendelea na Zinazoendelea Zinafanya Kila Jitihada Kurekebisha Uchumi Wao na Kuhakikisha Wanajiimarisha Kwenye Global Economy. Leo Tunaona Tanzania-CCM Base Economic Policies Hazieleweki na Hatujui Mtazamo Wao na Kikubwa Hatua Za kuifikisha Inchi Kwenye Economic Freedom Hazijaanza Hata Kufikiriwa. Uchumi wa Tanzania Unaonekana Unajengwa on Bases of Political Deals and Not True Economic Policies. Tanzania Lazima Itafute Njia za Kujenga Infrustructure Zetu ili Hii East African Community Tuweze Kudorminate Kwenye Hii Region. Hili Swala la East African Community Sijui Kama CCM Wanajua Jinsi Gani Kenya Business and Uganda Communities Lobby and Fight to Win. Its All About Increase Earnings kwa Makampuni Yao na Kujenga Inchi Zao. Haya Mabenki Kutoka Uganda na Kenya Yanafika Mikoani na Vijijini Wakati Tanzanian Banks are Sold Off. Ninawalaumu Sana Bank Kuu kwa Sababu Hawafanyi Kazi Inayotakiwa. Bank Kuu ya Tanzania Lazima Ipiganie Kujenga Financial Policies za Kuijenga Inchi. Mfano ni Kuhakikisha Tanzania Banks Zinagrow Kwa Kusisitiza Mafundisho ya Biashara Mashuleni. Technical Colleges na University of Dar Wangeusishwa Kutengeneza Short Programs za Biashara ili Wananchi Wajue Jinsi ya Kukopa na Kuweza Kubuild Value in Their Business While Markets Zinagrow Inchini. Hatuwezi Kujenga Inchi kwa Wananchi Kutegemea Kazi za Serikali. We Have to Build Private Sectors and Banks Ni Kitu Muhimu Sana to Engeener This Part. Lazima Tufanye Spending Cuts on Those Waste Areas Including Ministers and Other Government Official Salaries, privileges and Bonuses. If We Want to Build Our Private Sector, We Can Grow Middle Class and Lower Our Unemployment. Our Hope Bunge Will Start Repair Our Constitution and Focus on Economic Policies That Will Strengthen Out Country and Not the Few Elite.
 

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,369
1,516
There are two kinds of Countries in this world,

1) The countries which make the rules and

2) The countries which follow rules.

Tanzania is one of the countries which follow the rules made by other countries. And it is like dreaming when you follow another country's rules while talking of sustainable economy.

We can not be a powerful country economically in the world if we don't want to define our own rules to follow and reach our own target( which is still unkown bado tunabwabwaja bwabwaja tu huku tukiona sehemu ya kutilia mkazo lakini twajifanya[viongozi] hatutaki kuwajibika).

Lets wait hope the new generation will do for us!! and they will make their bright history for the country.
And there shall not be any names of ours in the future if we don't take action now. Viongozi wanatakiwa watoe muongozo, lakini badala yake wanafanya makusudi, wanajipendekeza kila kukicha na hakuna cha maana isipokuwa kutembeza mabakuri na kukutana na masharti kibao.

Its crazy you know!

Kiongozi kama kiongozi anatakiwa kuonyesha wapi tunaelewekea hata kama njia yake ni ngumu lakini kunakuwa na imani kwa watu/wananchi kuwa siku moja watoto/wajukuu watafaida nguvu anayotumia mtu kujenga nchi.

Lakini leo hii unaona kabisa mwananchi anaweza kutoka jasho mwisho wa siku kikundi cha wachache kinafaidi. Hata pale kunakoweza kutuletea unafuu, bado tunaharibu wala kuboresha kwake hakupo tunasubiri wawekezaji waje watupe mwongozo, yaani hapo ndo napochoka na viongozi wetu.
Tanzania as a country, hakuna mamluki yeyote atakuja akasema anataka kutuletea maendeleo, NEVER! Nchi hii itajengwa na watanzania wenyewe na siyo vinginevyo.
 

muonamambo

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
857
530
kwa aliyejinyakulia ushindi kama Jk .hana dira wala mwelekeo .kazi kuchagua wakwe na mashoga zake kwenye wizara muhimu. kaazi kweli kweli. natamani kuhama nchi
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom