kethika
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 630
- 472
Mie naona huu ni wizi. KAMA MTU KANUNUA BITES KWA AJILI YA INTERNET HALAFU MTANDAO UKAWA DOWN KILA WAKATI NA HUKU UMEPEWA MUDA FULANI UKIISHA NA BITES ZAKO ZIMEISHA WHETHER UMETUMIA AU LA , HUO SI NI WIZI.
SEREKALI IWEKE UTARATIBU KAMA WA LUKU. MTU ATUMIE KAMA ALIVYONUNUA HATA KAMA KAMA NI GB 10 KWA SIKU.
SEREKALI IWEKE UTARATIBU KAMA WA LUKU. MTU ATUMIE KAMA ALIVYONUNUA HATA KAMA KAMA NI GB 10 KWA SIKU.