kazi ipoJamani kitendo cha serekali hii ya awamu ya nne kutenga bilioni nane kwa viongozi wastaafu wasiozidi kumi na kutenga bilioni 5 tuu kwa hospitali za rufaa ambazo zinawahudumia watanzania wote na bunge kupitisha (wabunge wa ccm)kweli ina nia nzuri na sisi raia wake kweli? Mimi ninamashaka.
Naomba kuwasilisha wanajamii tuchangie
mvuja jasho atachangiwa kwenye mazishi na sio matibabu!