baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 11,665 Reaction score 12,511 Sep 23, 2025 #21 Ogopa sana nchi inayopiga vita watu wenye akili au mawazo mbadala hapo hamna nchi. Watu milion 65 wanashindwa kuendesha mwendo kasi. Kuna kitu gani tunaweza kufanya zaidi ya wizi ngozi nyeusi imelaaniwa
Ogopa sana nchi inayopiga vita watu wenye akili au mawazo mbadala hapo hamna nchi. Watu milion 65 wanashindwa kuendesha mwendo kasi. Kuna kitu gani tunaweza kufanya zaidi ya wizi ngozi nyeusi imelaaniwa