The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,429
Kila nikimsikiliza Rais Samia, mgombea wa CCM sawa na CCM B, huwa Siambui hata chambe ya sere. Wajuzi tafadhali nijuzeni sera zake ni zipi.
Ilani ya ChamaKazi na Utu
Ummy Mwalimu alisema ni Samia ni chapombe. Ila sikujua kama ni 24/7 alcoholic. Kama ni ukweli tunaweza kuona kwanini anafanya maamuzi anayoyafanya.NYWI NYWI NYWI 🤣
Ule ni mtambo. Kwanza hapandi jukwaani bila kulewa.
Chief Odemba aitishe mdahalo kati ya Samia na Mpina kama ule wa Mbowe na Lissu tujue sera, maono yao kwa hili Taifa.Kila nikimsikiliza Rais Samia, mgombea wa CCM sawa na CCM B, huwa Siambui hata chambe ya sere. Wajuzi tafadhali nijuzeni sera zake ni zipi.
Rais gani hapa Tanzania ambaye alikuwa sio mnyaji wa pombe????Ummy Mwalimu alisema ni Samia ni chapombe. Ila sikujua kama ni 24/7 alcoholic. Kama ni ukweli tunaweza kuona kwanini anafanya maamuzi anayoyafanya.
Sio kwa kiwango cha kuhitaji kuwa tungi kabla ya kupanda jukwaani kuhutubia kama mdau anavyosema.Rais gani hapa Tanzania ambaye alikuwa sio mnyaji wa pombe????
Hiyo ni Kauli mbiu sio sera🤣Kazi na Utu
Ulimsikia lini akizungumzia hizo katika mikusanyiko ya wasombwa na malori.Sera zipo,tena nzuri tu.
1.kumtua Mama ndoo kichwani,
2.Kudumisha huduma za afya,
3.Kuongeza mtandao wa barabara,reli na viwanja vya ndege,
4.kuongeza hudma ya nishati vijijini,
5.Kuongeza kupato cha mtu moja moja na Taifa kwa ujumla,na
6.Kudumisha amani na umoja wa nchi.
Sera ni nzuri tu labda ungesema huna uhakika na utekelezaji wake,ndio tungekuelewa.
Hawa wamejitahidi kidogo kupigania maslahi ya nchi zao. Adam Barrow wa Gambia, Hichlema wa Zambia, Boko wa Botswana, Kagame wa Rwanda, Gokhool wa Mauritius, Faye wa Senegal, Nandi- Ndaitwah pale Namibia.Afrika nzima watu wenye sera zenye maslahi kwa ajili ya waafrika ni so far ni Julius Malema na Ibrahim Traore. Wengine wote hawajui wanapigania nini. Hata Tundu Lisu akichaguliwa kuwa rais first trip ni white house kupiga picha na Trump. Mimi nakwambia, hata hao Gen Z wakenya wanapewa sifa lakini they don't what they are fighting for. Hii Afrika yetu kila mtu bado ni kipofu na viongozi wa serikali zetu, majority are uneducated fools and some of them know the truth but there're agents of the devil.