Sera za CCM na vifo vya viwanda vyetu

Kilimanjaro machine tools,general tyres,phillips-radio,kiwanda cha ngozi moshi,etc.tumeua vyote na tunatamani watu wawe na ajira!!!!
 


Cha kushangaza ni pale kiwanda cha kusaga na kukoboa sembe na ngano (chakula kikuu cha watanzania wengi) kilipobinafsishwa eti 'kimahaba' Re National Milling Corporation!!
 
serikali kujitoa katika biashara yalikua ni masharti ya IMF,ndo maana kukawepo ubinafisishaji...
enzi za serikali kumiliki viwanda ilikua wakati wa ujamaa,kwasasa haiwezekani
 
 
serikali kujitoa katika biashara yalikua ni masharti ya IMF,ndo maana kukawepo ubinafisishaji...

enzi za serikali kumiliki viwanda ilikua wakati wa ujamaa,kwasasa haiwezekani


Kwanini isiwezekane?
Mataifa mengine yamewezaje? Na kwanin sisi tushindwe?
 
lawama kubwa ni kwa viongozi na serikali ya ccm maana ndio iliamua kuua viwanda kwa makusudi, hadhabu yake ni kuiitoa madarakani haina uwezo
 
Tunasubiri sana utekelezaji kwenye hili la viwanda. Najiuliza sana itawezekanaje ikiwa umeme ndo huu wa mgao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…