Sera ya elimu bure inavyo tekelezeka chini ya mwamvuli wa UKAWA

Sera ya elimu bure inavyo tekelezeka chini ya mwamvuli wa UKAWA

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Kwa haraka haraka Leo ngoja niwasaidie jamaa zangu wa CCM ambao wengi wao hawajui Hesabu.

Tangu Mgombea Urais wa UKAWA Mhe. Edward Lowassa atangaze Elimu bure, kuna watu wamekuwa wakiona huo kama muujiza.

Kwa kifupi zipo njia nyingi sana zinazoweza kufanya Elimu kuwa bure kuanzia Shule ya msingi hadi Chuo Kikuu. Leo ngoja niongelee 'alternative' moja.

Kwa mujibu wa TAMISEMI Tanzania ina jumla ya shule za msingi 16,343 zenye wanafunzi 8.3 mil. Kwa upande wa sekondari shule zimeongezeka kutoka 531 mwaka 2005 hadi 4,576 mwaka 2014. Idadi ya wanafunzi nayo imeongezeka kutoka 524,325 mwaka 2005 hadi 1,804,056 mwaka huu.

Kwa upande wa elimu ya juu, idadi ya vyuo imeongezeka kutoka 26 hadi 54 kati ya mwaka 2005 hadi mwaka 2014 na kufanya idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu iongezeke kutoka wanafunzi 40,719 mwaka 2005 hadi wanafunzi 200,986 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Hotuba ya bajeti ya wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi ya mwaka 2014/2015, wanafunzi wa shule za msingi wanakadiriwa kugharamia kiasi cha Sh.10,000/= hadi 15,000/= kwa mwaka. Hii ina maana kuwa wanafunzi wote wa shule za msingi Tanzania wanahitaji Bilioni 80 waweze kusoma BURE.

Shule za Sekondari za Serikali zinakadiriwa kuwa 2,446 zikiwa na jumla ya wanafunzi 1,004,071. Kati yao wanafunzi 185,652 ni wa Shule za Kulala (Boarding), na wanafunzi 818,419 ni wa shule za kutwa (Day).
Wanafunzi wa Shule za kutwa wanalipa ada TZS 20,000 kwa mwaka. So ukichukua 20,000 × 818,000 utapata Bilioni 16.3. Wanafunzi wa shule za Bweni wanalipa ada TZS 70,000/= kwa mwaka. So ukichukua 70,000 × 185,652 utapata Bilioni 11.2.

Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya juu wa vyuo vya Serikal na vya binafsi wapo 200,986. Kati yao wanafunzi 162,987 wanasoma Course za 'Social Science, Law, Humanities, Education etc' ambao ada zao hazizidi Mil.2 kwa mwaka. So chukua 162,989 × 2000,000/= utapata Bilioni 325.

Wanafunzi 37,997 wanasoma course za "Science" kama Engineering, Udaktari etc na ada zao ni zaidi ya Mil.3 kwa mwaka. So hawa watahitaji Bil 113.5 kulipa ada ya mwaka mzima.
Fedha ya kujikimu pamoja na chakula (Meals & Accomodation) inayotolewa kwa sasa ni TZS 7,000 kwa siku kwa mwanafunzi mmoja. Hivyo basi mwanafunzi mmoja anapata Jumla ya Shilingi 1,680,000/= kwa mwaka. Hii ina maana kuwa wanafunzi wote wa vyuo vya elimu ya juu ambao ni 200,986 wanahitaji Bil 337.

Fedha ya Utafiti (Research), Mafunzo kwa njia ya vitendo (Field) na vitabu (Stationeries) hutolewa jumla ya Shilingi 735,000/= kwa mwaka ambayo hugawanywa kulingana na asilimia ya mkopo ya mwanafunzi. Hivyo basi wanafunzi wote wanahitaji Bil 147 kwa mwaka.

Ukijumlisha gharama zote hapo juu utapata jumla ya Shilingi Bilioni 934 tu. Kwa lugha rahisi ni kuwa ili kila mwanafunzi nchini asome bure kuanzia Elimu ya msingi, sekondari na akifika Chuo Kikuu alipiwe gharama zote bure kwa asilimia 100%, serikali inahitaji kutoa Shilingi Bilioni 934 tu kila mwaka.

Swali, Je hizi Bilioni 934 zinapatikanaje?
Ukisoma hotuba ya Bajeti ya wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka 2014 utagundua kuwa Mlima Kilimanjaro peke yake unachangia karibu Bil.800 kwenye pato la Taifa (Gross National Income of $350 Milion).

Kwa lugha Rahisi ni kuwa tunahitaji Mlima Kilimanjaro mmoja tu ili watoto wetu wasome bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo Kikuu. Yani tukiamua mapato yote ya Mlima Kilimanjaro tuyapeleke kwenye sekta ya Elimu bila kuchakachua, tutakua na uhakika wa kusoma bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo kikuu. Je hatuwezi??
Hapo hatujagusa Mbuga za wanyama, hatujagusa Bandari, Madini, Gesi, Mazao ya misitu, Uvuvi, Kilimo, Viwanda, etc. Tumegusa mlima Kilimanjaro peke yake. Kwakuwa CCM hawawezi tunawaweka pembeni tunaoweza tufanye.!

Bajeti ya Serikali kwenye elimu takribani Bilioni 794 tena ambazo hazitolewi kwa wakati sio bajeti ya nchi ambitious inayotakiwa kuingia uchumi wa Daraja la kati(Middle Class Economy) miaka 10 Ijayo. Nitamjibu Dr.Khamisi Kigwangalla kwa reference ili nae alete facts zake za kuitetea CCM.

Nitaongeza gharama za Ruzuku za serikali.Mwaka 2010 tuliposema inawezekana hadi Sekondari mlikataa tukaleta Hesabu.Nyerere alisomesha watoto wa Kitanzania kwa Kahawa na Katani tu,Leo kuna kuna Dhahabu,Almasi na Gesi imebuliwa.

Kwa mwaka Mmoja tu Sekta ya Madini inapoteza Trilioni 2.5 kwa mujibu wa Ripoti ya IMF na PAC bungeni.

Halaf rais mstaaf asiye fanya kaz analipwa mil 800 kwa mwez na mwal anayefanya kaz analipwa lak 3
Wakati wa Mabadiliko ni Sasa,Mabadiliko nje ya CCM.


Cc Saint Ivuga
 
Porojo hii mbona tulishasema kwamba haitekelezeki kabisa na takwimu zinapotosha? Unailetaje tena hapa?

Wapi duniani wanakotoa huduma ya elimu bure mpaka chuo kikuu? Je, mazingira yao kiuchumi yanalingana na tanzania?

kwa haraka haraka leo ngoja niwasaidie jamaa zangu wa ccm ambao wengi wao hawajui hesabu.

Tangu mgombea urais wa ukawa mhe. Edward lowassa atangaze elimu bure, kuna watu wamekuwa wakiona huo kama muujiza.

Kwa kifupi zipo njia nyingi sana zinazoweza kufanya elimu kuwa bure kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu. Leo ngoja niongelee 'alternative' moja.

Kwa mujibu wa tamisemi tanzania ina jumla ya shule za msingi 16,343 zenye wanafunzi 8.3 mil. Kwa upande wa sekondari shule zimeongezeka kutoka 531 mwaka 2005 hadi 4,576 mwaka 2014. Idadi ya wanafunzi nayo imeongezeka kutoka 524,325 mwaka 2005 hadi 1,804,056 mwaka huu.

Kwa upande wa elimu ya juu, idadi ya vyuo imeongezeka kutoka 26 hadi 54 kati ya mwaka 2005 hadi mwaka 2014 na kufanya idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu iongezeke kutoka wanafunzi 40,719 mwaka 2005 hadi wanafunzi 200,986 mwaka huu.

Kwa mujibu wa hotuba ya bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ya mwaka 2014/2015, wanafunzi wa shule za msingi wanakadiriwa kugharamia kiasi cha sh.10,000/= hadi 15,000/= kwa mwaka. Hii ina maana kuwa wanafunzi wote wa shule za msingi tanzania wanahitaji bilioni 80 waweze kusoma bure.

Shule za sekondari za serikali zinakadiriwa kuwa 2,446 zikiwa na jumla ya wanafunzi 1,004,071. Kati yao wanafunzi 185,652 ni wa shule za kulala (boarding), na wanafunzi 818,419 ni wa shule za kutwa (day).
Wanafunzi wa shule za kutwa wanalipa ada tzs 20,000 kwa mwaka. So ukichukua 20,000 × 818,000 utapata bilioni 16.3. Wanafunzi wa shule za bweni wanalipa ada tzs 70,000/= kwa mwaka. So ukichukua 70,000 × 185,652 utapata bilioni 11.2.

Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wa vyuo vya serikal na vya binafsi wapo 200,986. Kati yao wanafunzi 162,987 wanasoma course za 'social science, law, humanities, education etc' ambao ada zao hazizidi mil.2 kwa mwaka. So chukua 162,989 × 2000,000/= utapata bilioni 325.

Wanafunzi 37,997 wanasoma course za "science" kama engineering, udaktari etc na ada zao ni zaidi ya mil.3 kwa mwaka. So hawa watahitaji bil 113.5 kulipa ada ya mwaka mzima.
Fedha ya kujikimu pamoja na chakula (meals & accomodation) inayotolewa kwa sasa ni tzs 7,000 kwa siku kwa mwanafunzi mmoja. Hivyo basi mwanafunzi mmoja anapata jumla ya shilingi 1,680,000/= kwa mwaka. Hii ina maana kuwa wanafunzi wote wa vyuo vya elimu ya juu ambao ni 200,986 wanahitaji bil 337.

Fedha ya utafiti (research), mafunzo kwa njia ya vitendo (field) na vitabu (stationeries) hutolewa jumla ya shilingi 735,000/= kwa mwaka ambayo hugawanywa kulingana na asilimia ya mkopo ya mwanafunzi. Hivyo basi wanafunzi wote wanahitaji bil 147 kwa mwaka.

Ukijumlisha gharama zote hapo juu utapata jumla ya shilingi bilioni 934 tu. Kwa lugha rahisi ni kuwa ili kila mwanafunzi nchini asome bure kuanzia elimu ya msingi, sekondari na akifika chuo kikuu alipiwe gharama zote bure kwa asilimia 100%, serikali inahitaji kutoa shilingi bilioni 934 tu kila mwaka.

Swali, je hizi bilioni 934 zinapatikanaje?
Ukisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya maliasili na utalii kwa mwaka 2014 utagundua kuwa mlima kilimanjaro peke yake unachangia karibu bil.800 kwenye pato la taifa (gross national income of $350 milion).

Kwa lugha rahisi ni kuwa tunahitaji mlima kilimanjaro mmoja tu ili watoto wetu wasome bure kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu. Yani tukiamua mapato yote ya mlima kilimanjaro tuyapeleke kwenye sekta ya elimu bila kuchakachua, tutakua na uhakika wa kusoma bure kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu. Je hatuwezi??
Hapo hatujagusa mbuga za wanyama, hatujagusa bandari, madini, gesi, mazao ya misitu, uvuvi, kilimo, viwanda, etc. Tumegusa mlima kilimanjaro peke yake. Kwakuwa ccm hawawezi tunawaweka pembeni tunaoweza tufanye.!

Bajeti ya serikali kwenye elimu takribani bilioni 794 tena ambazo hazitolewi kwa wakati sio bajeti ya nchi ambitious inayotakiwa kuingia uchumi wa daraja la kati(middle class economy) miaka 10 ijayo. Nitamjibu dr.khamisi kigwangalla kwa reference ili nae alete facts zake za kuitetea ccm.

Nitaongeza gharama za ruzuku za serikali.mwaka 2010 tuliposema inawezekana hadi sekondari mlikataa tukaleta hesabu.nyerere alisomesha watoto wa kitanzania kwa kahawa na katani tu,leo kuna kuna dhahabu,almasi na gesi imebuliwa.

Kwa mwaka mmoja tu sekta ya madini inapoteza trilioni 2.5 kwa mujibu wa ripoti ya imf na pac bungeni.

Halaf rais mstaaf asiye fanya kaz analipwa mil 800 kwa mwez na mwal anayefanya kaz analipwa lak 3
wakati wa mabadiliko ni sasa,mabadiliko nje ya ccm.


Cc saint ivuga
 
Uloi nga mâché68;13943589 said:
Porojo hii mbona tulishasema kwamba haitekelezeki kabisa na takwimu zinapotosha? Unailetaje tena hapa?

Wapi duniani wanakotoa huduma ya elimu bure mpaka chuo kikuu? Je, mazingira yao kiuchumi yanalingana na tanzania?

Ukapimwe akili mpumbavu ww usiesikia
 
Uloi nga mâché68;13943589 said:
Porojo hii mbona tulishasema kwamba haitekelezeki kabisa na takwimu zinapotosha? Unailetaje tena hapa?

Wapi duniani wanakotoa huduma ya elimu bure mpaka chuo kikuu? Je, mazingira yao kiuchumi yanalingana na tanzania?

Mmm kumbe nina kaz ya kukuelewesha.....
Hapa nazungumzia Tanzania na resource 1 tu ambayo ni kilimanjaro mountain
 
Kwa hiyo mapato yote ya kilimanjaro yatumike kugharimia elimu tu! Hujengi barabara? Sekta nyingine zitasubiri tu miaka 5 yote ya ukawa! Ridiculous! Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya uendeshaji wa serikali! Naweza kupoteza muda kukupinga kumbe ni mtu wa kijiweni tu!


mmm kumbe nina kaz ya kukuelewesha.....
Hapa nazungumzia tanzania na resource 1 tu ambayo ni kilimanjaro mountain
 
Uloi nga mâché68;13943733 said:
Kwa hiyo mapato yote ya kilimanjaro yatumike kugharimia elimu tu! Hujengi barabara? Sekta nyingine zitasubiri tu miaka 5 yote ya ukawa! Ridiculous! Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya uendeshaji wa serikali! Naweza kupoteza muda kukupinga kumbe ni mtu wa kijiweni tu!

Xo tanzania tuna resource 1 tu.? Mbona mnasomeshwa lkn bado mnakuwa wagum kuelewa mambo mepesi....mulugo type
 
Uloi nga mâché68;13943733 said:
Kwa hiyo mapato yote ya kilimanjaro yatumike kugharimia elimu tu! Hujengi barabara? Sekta nyingine zitasubiri tu miaka 5 yote ya ukawa! Ridiculous! Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya uendeshaji wa serikali! Naweza kupoteza muda kukupinga kumbe ni mtu wa kijiweni tu!


Uliza kijana w f1 atakueleza serikal inaingizaje mapato
 
mhhhhh! aisee kumbe elimu bure inawezekana. yani mlima k/njaro tu watoto wetu wanaweza pata elimu!! haya majitu mengine yanayobisha ndo yanafaa kuitwa mapumbavu na marofa.
 
Wewe kumbe mburula sana! Hujui hata Serikali inaendshwaje! Unatumia vihesabu vya kubahatisha huku ukiwaona CCM wote hawana AKILI! Kumbe hata mabadiliko unayoimba huyajui! POOR MUSHI92!

Uliza kijana w f1 atakueleza serikal inaingizaje mapato
 
Uloi nga mâché68;13943945 said:
Wewe kumbe mburula sana! Hujui hata Serikali inaendshwaje! Unatumia vihesabu vya kubahatisha huku ukiwaona CCM wote hawana AKILI! Kumbe hata mabadiliko unayoimba huyajui! POOR MUSHI92!

Ile team ya kudhoofisha kumbe ndo hii...... Hahahahah waambie wapite hapa wenzako tuwabadilishe
 
Jana kipindi cha mada moto channel ten Aliulizwa mwakilishi toka ccm Ni vipi hicho chama ki tatekeleza Sera kwa a kutoa Elimu bure.Ahaaaaa Alishindwa kabisa hata walau kusema chanzo chochote kinachoweza saidia serkali yao Elimu kutolewa bure.Aibu KUBWA.
 
Uloi nga mâché68;13944234 said:
Naunga mkono mabadiliko ya kimaendeleo lakini siyo mabadiliko ya wanaotawala tu huku kukiwa hakuna jipya!

Ahadi wanazotoa ni kwa wananchi na sio kwa wao.
Ccm wanachokosea wana angalia wao kwanza. Wananchi baadae....

Jk alsema 'chama kwanza' maana yake maslai ya chama yalindwe no matter unaumia ndo maana kale ka wimbo kama sema 'mlituchagua wenyewe!'
 
Jana kipindi cha mada moto channel ten Aliulizwa mwakilishi toka ccm Ni vipi hicho chama ki tatekeleza Sera kwa a kutoa Elimu bure.Ahaaaaa Alishindwa kabisa hata walau kusema chanzo chochote kinachoweza saidia serkali yao Elimu kutolewa bure.Aibu KUBWA.

Viongoz wengne ni mizigo+ muda umeisha watoke tu
 
Back
Top Bottom