Senzo alikuzwa sana kiuhalisia hamna kitu. Viongozi wetu wanaongea pembeni ila hawawezi mwambia Usoni

Jamaa sio mtu wa vyombo vya habari anajua kazi yake, tumuache afanye kazi yake tunajua anapambana sana kuhusu mchakato wa kuibadilisha yanga muundo wake, hawa wanaopiga kelele halishindwa kuisadia Yanga miaka yote, Wenye akili wanajua tulipotoka, tulipo, na tunapokwenda.
Anajua kazi yake ipi? Anashindwa hata na Barbara ambae ni mchanga kwenye Uongozi.
 
Nazani tatizo litakuwa sio senzo litakuwa ni Yanga wenyewe, inawezekana, Senzo ameshandaa mikakati ya transformation na tayari amewapa yanga, sema yanga wenyewe wakawa slow au hawapo tayari kwa mabadiliko.
 
Ma senzo kazi yake pale Yanga ni transformation na mpaka sasa inaenda nyaraka zishaenda bmt,tff,wizara ya michezo na kuna mkutano mkuu wa wanachama unakuja,hizo taasisi zikiidhinisha mchakato uko sawa basi mabadiliko yanaanza mara 1 na wawekezaji watakaochukua 49% watatangazwa na mikia mkae mkijua Yanga mwekezaji atokua m1 km janja janja mudy huko kwenu ambaye mpk leo b 20 anapiga dana dana,baada ya hapo tunabadilisha katiba,tutakua na rais na CEO,hapo ndio senzo anaweza kupewa uceo,senzo sasa hivi pale Yanga ni mshauri tu wa mabadiliko na kwa kupenyezeeni tu nyie mikia rostam ana b 30,gsm ana 20 mwenyezi Mungu amrehemu marehemu subhash patel,kabla ya umauti wake na yeye alikua na mpango wa kuweka mzigo wake,bakhresa ana mwanae anadai nae Yanga na yy anataka kuweka mzigo ila bado tunamchunguza uyanga wake shubamit,rizimoko yy alishasema ana b 5 na yy anataka kuweka,manji nae kwa mbali anasoma mchezo unavyoenda,roma aikujengwa siku 1 sasa haki yenu kutucheka ila huko mbele ya safari kuna jitu litalia,endeleeni kutubeza mikia haki yenu kwa sasa
 
Rostam mtu makini sana sio mtu wa kichwakichwa,anaweka pesa ambapo unajua atapata faidi,watu weupe wapo hivyo,sio Mo,Rostam wala Ghalib wa gsm wote ni wafanya biashara.

Gsm anatoa pesa kidogo kulipa kocha na wachezaji kadhaa kisha yeye kamiliki jezi na anapiga hela chafu.
Vunja bei kaweka b2 kwenye jezi na anategemea atapata faida,sasa gsm anapiga pesa zaidi kwenye jezi.
Hao ndo wafanyabiashara hususan wenye asili ya Asia.
 
Kishaweka pesa Yanga kwa kupitia taifa gas
 
"yanga hii haina tofauti na yanga ile ya bila senzo. Viongozi tukikaa nao wanalalamika kuwa jamaa hana mchango,msaada wowote na hata walimwajiri ni kama wanashindwa wafanye nini naye.

anapenda sana starehe ila kiutendaji hana jipya hasa kwa sasa anaonekana kuwadharau wote na kujiona yeye pekee ndo katika yanga anaufahamu mpira.

sisi yanga tulitegemea angekuwa anatushauri jinsi ya kuendesha team kisasa, kupata wachezaji wazuri,makocha wazuri n.k

Hana mikakati yoyote endelevu zaidi zaidi tu hupenda kusema mimi nlipokuwa team xxx nlifanya 1,2,3... Tunapomwambia tupe mikakati hapa sasa tunaelekea wapi anakosa majibu.

Kiukweli hata maboss wenyewe wamepunguza sana kumshirikisha mambo amebaki tu kama ceremonial coz ni aibu kwa sasa kusema tulikurupuka. Ni bora tungemchukua mwinyi zahera. Si huyu jamaa.

Au pengine kuna mambo yanamkwamisha?au simba kipindi kile walikuwa wanamkuza tu kupitia manara but hamna kitu? Yanga tunahitaji kujenga team tena kimkakati.bila hivyo tutapata shida mbeleni.

Siku zote huwa naongea ukweli wacha nichukiwe. Ni kwamba either hatuna kazi za senzo kufanya pale kwetu au senzo haoni kazi za kufanya pale kwetu.

Kama tungeweza mchukua cr.magori wa simba tungekuwa tumelamba dume kuliko hili galasa la south africa ambalo lilikimbilia kwetu baada ya kupata taarifa linataka temwa simba kwa kutoona mchango wake.

Ni bora yanga tungeajiri watu kama akina sekilojo chambua,ally mayai n.k watanzania wenzetu wenye kuufahamu mpira. But huyu tumelamba galasa. Alijengwa na simba kisiasa tu hamna kitu pale."

Haya yameandikwa na Mwanayanga katika group la whatsapp la Wanayanga. Si maneno yangu. Ni copy and paste.
Yamekua hayo tena 😁😄😄😄Ukiona mwanamke kaachika kutoka kwa Mumewe jua kuna mambo ( 2)
( 1)Huyo mke ajakidhi viwango au kile Mume alichokitarajia
(2)Tabia za yule Mwanamke azijamfurahisha mumewe.Ushauli usikimbilie kuoa mwanamke aliyeachika kabla ujamchunguza vizuri.
 
Kishaweka pesa Yanga kwa kupitia taifa gas
Shilingi ngapi kaweka?
Pesa ndogondogo hizo Bin Kleb,Manji,gsm, walishaweka sana pale Yanga, pesa za mboga hata wakina Hanspop wanawekaga mezani hizo,ila sio b30 alafu hujui zitarudi lini kwa soka lenyewe la bongo la shaghala baghala.
 
Ma senzo kazi yake pale Yanga ni transformation na mpaka sasa inaenda nyaraka zishaenda bmt,tff,wizara ya michezo na kuna mkutano mkuu wa wanachama unakuja,hizo taasisi zikiidhinisha mchakato uko sawa basi mabadiliko yanaanza mara 1 na wawekezaji watakaochukua 49% watatangazwa na mikia mkae mkijua Yanga mwekezaji atokua m1 km janja janja mudy huko kwenu ambaye mpk leo b 20 anapiga dana dana,baada ya hapo tunabadilisha katiba,tutakua na rais na CEO,hapo ndio senzo anaweza kupewa uceo,senzo sasa hivi pale Yanga ni mshauri tu wa mabadiliko na kwa kupenyezeeni tu nyie mikia rostam ana b 30,gsm ana 20 mwenyezi Mungu amrehemu marehemu subhash patel,kabla ya umauti wake na yeye alikua na mpango wa kuweka mzigo wake,bakhresa ana mwanae anadai nae Yanga na yy anataka kuweka mzigo ila bado tunamchunguza uyanga wake shubamit,rizimoko yy alishasema ana b 5 na yy anataka kuweka,manji nae kwa mbali anasoma mchezo unavyoenda,roma aikujengwa siku 1 sasa haki yenu kutucheka ila huko mbele ya safari kuna jitu litalia,endeleeni kutubeza mikia haki yenu kwa sasa

Aisee hichi Chura kimemaliza Shule kwa nguvu za Viboko
 
Hapo ndio utaona vichekesho badala ya wanachama kupitia rasimu ndio iende bmt na vyombo vingine rasimu inaanzia bmt na taasisi za serikali halafu wanachama wanakuwa wa mwisho
Vp ikitokea wanachama wanakataa au wanarekebisha baadhi ya mapendekezo ina.maana rasimu itarudi kupitiwa upya na bmt na vyombo vingine.
Kama mimi sio mwanayanga nimeona hayo mapungufu inadhiilisha yanga wote ni vilaza, uneducated
 
Hapo ndio utaona vichekesho badala ya wanachama kupitia rasimu nsio iende bmt na vyombo vingine rasimu inaanzia bmt na taasisi za serikali halafu wqnachama wanakuwa wa mwisho
Vp ikitokea wanachama wanakataa au wanarekebisha baadhi ya mapendekezo ina.maana rasimu itarudi kupitiea upya na bmt na vyombo vingine.
Kama mimi sio mwanayanga nimeona hayo mapungufu inadhiieisha yanga wote ni vilaza, uneducated
Kutakua na tatizo gani!mwezi huu kuna mkutano wa wanachama
 
Back
Top Bottom