Taja sentesi fupi ambayo, inaweza kukufariji/kukupa raha na pia inaweza kukupa huzuni/majonzi kulingana na nyakati tofauti katika maisha.
mfano: 'haya pia yana mwisho'-ukiwa una pesa na utajiri wakati huu huwezi jua kesho itakua vipi, pengine unaweza kurudi katika hali duni na ukawa maskini...
au pia kama unaumwa,unateseka sana kitandani,lakini ukawa na imani kwamba kesho inawezekana mungu akakutendea miujiza ukapona kabisaa...
then kwa upande mwingine wa hii sentesi ni kuwa kama leo unaishi maisha ya dhiki/umaskini jua kwamba kesho ipo na mungu anaweza kukupa ridhiki yake..
hebu na nyie tiririka sentensi fupi ambayo ina maana kubwa ndani yake...
Kapambane na hali yako πTaja sentesi fupi ambayo, inaweza kukufariji/kukupa raha na pia inaweza kukupa huzuni/majonzi kulingana na nyakati tofauti katika maisha.
mfano: 'haya pia yana mwisho'-ukiwa una pesa na utajiri wakati huu huwezi jua kesho itakua vipi, pengine unaweza kurudi katika hali duni na ukawa maskini...
au pia kama unaumwa,unateseka sana kitandani,lakini ukawa na imani kwamba kesho inawezekana mungu akakutendea miujiza ukapona kabisaa...
then kwa upande mwingine wa hii sentesi ni kuwa kama leo unaishi maisha ya dhiki/umaskini jua kwamba kesho ipo na mungu anaweza kukupa ridhiki yake..
hebu na nyie tiririka sentensi fupi ambayo ina maana kubwa ndani yake...
πWatanzania mniombee(inakera sana hii)
Kwa duanzi kama wewe ni lazima wote tucheze beat moja kitaaniπ
Nyumbu mnaruka na kukanyagana
KataKATA