Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Belgium=10 Milioni8 million ni population ya nchi kama Belgium ............................ I doubt!! Lakini ni vizuri kuangalia na kuwacontrol hawa watu. Watakuja tawala watoto wetu huko mbeleni!!
Inasemekana nchini Tanzania kuna wachina wasiopungua milioni nane.
Tungeomba sensa ya hawa raia wa china ifanyike mapema ili kufahamu
ukweli wa madai haya.
Maana kila baada ya nyumba mmoja jijini Dar es Salaam kuna mchina mmoja.
Huko mikoani je? hasa maeneo yenye ujenzi wa barabara na viwanda.
Jijini Mbeya maeneo ya Mbozi kuna wachina wengi sana wamezaa wanawake
na kuwatelekeza, watoto wa kichina wanaozaliwa wanaongea kindali na kinyakyusa
tu. Unakuta mtoto wa kichina anaitwa Anyambilile Mwamboje.
Nawasilisha.
By: BUKU JERO

Nimepata sensa toka Mr. Yu yupo tz tangu 1974 wachina tz by April 2013 aliniambia walikuwa 371420 laki Tatu Sabini na moja elfu Mia nne na ishirini. Sijui kama ni kweli anyway.