Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 409 Reaction score 182 Aug 6, 2012 #1 kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA.
kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA.
Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 409 Reaction score 182 Aug 6, 2012 Thread starter #2 ndio naelekea kata nikiyakuta tawafahamisha. Hata huku taarifa ni kama zako
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Aug 6, 2012 #3 haya mkuu ila ungeipeleka kule jukwaa la kazi..
Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 409 Reaction score 182 Aug 6, 2012 Thread starter #4 ndetichia said: haya mkuu ila ungeipeleka kule jukwaa la kazi.. Click to expand... kazi yenyewe magumashi matupu.
ndetichia said: haya mkuu ila ungeipeleka kule jukwaa la kazi.. Click to expand... kazi yenyewe magumashi matupu.
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Aug 6, 2012 #5 Pizza said: kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA. Click to expand... mkuuuuuu toa feedback vp wapebandika kweli?
Pizza said: kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA. Click to expand... mkuuuuuu toa feedback vp wapebandika kweli?
K keytte Member Joined Apr 18, 2012 Posts 21 Reaction score 4 Aug 6, 2012 #6 Kwenye kata ya kijitonyama wamesema majina yatabandikwa saa nane.
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Aug 6, 2012 #7 Kata ya Charambe wamebandika leo. Pale uwanja wa taifa wamebandika ila sijui kata gani na ni karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya
Kata ya Charambe wamebandika leo. Pale uwanja wa taifa wamebandika ila sijui kata gani na ni karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Aug 6, 2012 #8 zoezi la kubandika linaendelea ila jamaa yangu usipime maana mh!? Ukiona jina lako labda una undugu na afisa mtendaji wa kata
zoezi la kubandika linaendelea ila jamaa yangu usipime maana mh!? Ukiona jina lako labda una undugu na afisa mtendaji wa kata