Sensa ni kaburi la kuizika CCM.


Badala ya konde la pua, kwa nini msiivalie mabomu ya kujitolea mhanga mkaimaliza kabisa?
 

Si sahihi, na hawatapata wanachokitaka!
Kuna dini kama WAHINDU, Atheists, Buddha etc, hawa watawapataje?

Mkuu ukiangalia hiyo hesabu vizuri iko sawa kwa maana ya kupata wasio waislam. Labda kama una maana shida yao ni kupata idadi ya wakristu. In that case hesabu hii haitakupa jibu. By the way nilifikiri shida yao ni kujua wasio waislamu
na si kujua idadi ya wakristu!!!!!
 
Selikari isipokuwa makini zoezi la sensa haliwezi kukamilika na cjui nani atalaumiwa,naishauri serikali ifike muafaka na waislam ndipo zoezi la sensa liendelee,ila wakiendelea na huu msimamo hawawezi kupata idadi sahihi na hivyo itakuwa hasara kwa taifa lote kwani ni kodi za watz ndizo zitakazotumika ktk zoezi hili.
 
hawa watu hawana hoja ya msingi mbona rahisi sana kujua si waangalie sehemu ambapo magamba ilishinda kura nyingi ndo huko waliko wengi ni hesabu rahisi tu
 

Tatizo ni kwamba hawataamini ukweli huo. Watang'ang'ania kuwa ni pesa MOU wala si sadaka ya waumini.
 
MNAANGAIKA WEE! katika SENSA hakuna Kipengele cha DINI.....Madodoso ya Sensa Tumeshayaona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…