Kuendelea kwa serikali ya ccm kuwatisha waislam kuwa watachukuliwa hatua kali endapo hawatashiriki sensa,rejea kauli ya mwanasheria wa sensa na JK. Pia kwa tabia wanayoionesha kutokuwaheshimu mashekhe na misikiti! Muda sio mrefu itawa cost. Kwa dhana yao ya kuitumia BAKWATA kuendesha mauozo yao basi waislam sasa wanajua na hawakotayari kutumika.Na kwakuwa ccm na serikali yake imeendeleza dhulma mbalimbali dhidi ya waislam na sasa sehemu kubwa ya waislam wanajitambua! Hivyo ccm 2015 iandae tu makoleo ya kutupia udongo kwenye kaburi lake.Tunangoja Agost wakati wa sensa kitakachotokea na hapo ndio mwanzo na mwisho wa ccm,kwani kwasasa waislam hawatazami sensa bali 2015.Waislam wa mwaka 1982 si hawa wa 2012,kwani hawa wanajua walikotoka na wanajua wanakokwenda.CCM endeleeni kuitumia BAKWATA kwa kuwamwagia mipesa kwasababu mnajua wananjaa lakini mjue waislam wanajua A-Z hivyo lolote la BAKWATA ni la BAKWATA na sio la waislam. Waislam wanaivizia ccm yenu kwenye kona ili ibandikwe kande la pua.Konde hilo la pua bila shaka liccm litaanguka chali. Litazikwa hai likiwa limepoteza fahamu.
Basically mawazo haya ni ya kijinga yasiyo na mshiko kuyajadili.Kuendelea kwa serikali ya ccm kuwatisha waislam kuwa watachukuliwa hatua kali endapo hawatashiriki sensa,rejea kauli ya mwanasheria wa sensa na JK. Pia kwa tabia wanayoionesha kutokuwaheshimu mashekhe na misikiti! Muda sio mrefu itawa cost. Kwa dhana yao ya kuitumia BAKWATA kuendesha mauozo yao basi waislam sasa wanajua na hawakotayari kutumika.Na kwakuwa ccm na serikali yake imeendeleza dhulma mbalimbali dhidi ya waislam na sasa sehemu kubwa ya waislam wanajitambua! Hivyo ccm 2015 iandae tu makoleo ya kutupia udongo kwenye kaburi lake.Tunangoja Agost wakati wa sensa kitakachotokea na hapo ndio mwanzo na mwisho wa ccm,kwani kwasasa waislam hawatazami sensa bali 2015.Waislam wa mwaka 1982 si hawa wa 2012,kwani hawa wanajua walikotoka na wanajua wanakokwenda.CCM endeleeni kuitumia BAKWATA kwa kuwamwagia mipesa kwasababu mnajua wananjaa lakini mjue waislam wanajua A-Z hivyo lolote la BAKWATA ni la BAKWATA na sio la waislam. Waislam wanaivizia ccm yenu kwenye kona ili ibandikwe kande la pua.Konde hilo la pua bila shaka liccm litaanguka chali. Litazikwa hai likiwa limepoteza fahamu.
................Waislam wa mwaka 1982 si hawa wa 2012..............
Uzuri wetu waislamu bana, kila mtu ni msemaji wa waislamu wote![/QUOTEndugu zanguni waislam acheni udini na kujiona kuwa mnaonewa na kila kitu,kama mnataka kujijua mko wangapi jihesabuni siku ya ijumaa au kwenye mihadhara yenu.achen umbumbu na udini.
Kuendelea kwa serikali ya ccm kuwatisha waislam kuwa watachukuliwa hatua kali endapo hawatashiriki sensa,rejea kauli ya mwanasheria wa sensa na JK. Pia kwa tabia wanayoionesha kutokuwaheshimu mashekhe na misikiti! Muda sio mrefu itawa cost. Kwa dhana yao ya kuitumia BAKWATA kuendesha mauozo yao basi waislam sasa wanajua na hawakotayari kutumika.Na kwakuwa ccm na serikali yake imeendeleza dhulma mbalimbali dhidi ya waislam na sasa sehemu kubwa ya waislam wanajitambua! Hivyo ccm 2015 iandae tu makoleo ya kutupia udongo kwenye kaburi lake.Tunangoja Agost wakati wa sensa kitakachotokea na hapo ndio mwanzo na mwisho wa ccm,kwani kwasasa waislam hawatazami sensa bali 2015.Waislam wa mwaka 1982 si hawa wa 2012,kwani hawa wanajua walikotoka na wanajua wanakokwenda.CCM endeleeni kuitumia BAKWATA kwa kuwamwagia mipesa kwasababu mnajua wananjaa lakini mjue waislam wanajua A-Z hivyo lolote la BAKWATA ni la BAKWATA na sio la waislam. Waislam wanaivizia ccm yenu kwenye kona ili ibandikwe kande la pua.Konde hilo la pua bila shaka liccm litaanguka chali. Litazikwa hai likiwa limepoteza fahamu.
Si sahihi, na hawatapata wanachokitaka!Ushauri tu.
Kwasababu ni muhimu sana kwa waislamu kujua idadi ya wale ambao sio waislam(maana kama ni wao kujua idadi yao nadhani hawahitaji sensa) basi wasubiri sensa iishe(na wahesabiwe), Halafu wajihesabu wao.
Then kupata juma ya wasio waislam itakuwa rahisi. Unachukua jumla kuu (ya sensa) una toa idadi ya waislam unapata idadi ya wasio waislam.
Simple mathematics!!!