Senior police officer arrested

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
wenzetu watani wetu wapo makini sana na suala la rushwa angalia video hiyo

Last edited by a moderator:
Inanikumbusha kazi ya Jerry Muro. Sijui ushaidi ule uliishia wapi?
 
Sie tutabaki tunaimba tu dowans dowans dowans..............................
 
hivi hosea haoni wenzake wanavyofanya kazi?kweli kenya pamoja na mgogoro wa kisiasa mwaka ule inakuja juu sana kimaendeleo kwa sasa kuliko sisi wenye amani na mshikamano
Sie tutabaki tunaimba tu dowans dowans dowans..............................
 
hivi hiyo kesi ya jerry mulo na kesi zile za kina mramba za eppa bado zinaendelea?
Inanikumbusha kazi ya Jerry Muro. Sijui ushaidi ule uliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…