Senetor Wa jiji la Nairobi azua gumzo uwanja Wa ndege

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Ni kuhusiana na suruali aliyovaa wakati Wa mapokezi ya Raid Wa China iliyokuwa ya kisanii iliyochanikachanika na kupelekea Raid Wa Kenya kupatwa na mshangao
FB_IMG_1490196246689.jpg
FB_IMG_1490196241916.jpg
 
Ilikuwa ni waziri mkuu wa china mkuu siyo rais...ila umeandika raid rekebisha basi.

Hii ingekuwa Tanzania eti makonda ndo avae hvo...nahisi Magu angemfukuza..ila wakenye wamelalamika sana wengine wanasema Sonko bado ako na utoto haikuwa poa kuvaa hvo.

Ila aliyenivunja mbavu ni Ruto jinsi alivocheka..sijui hata kilichomchekesha hvo nn tu. Ila kenyata bwana...wala hata hakuona kama ni kitu cha ajabu sana.
 
Kaona president huwa anatupia Jean's hivyo na yeye kaamua atupie. Kapendeza
 
Ilikuwa ni waziri mkuu wa china mkuu siyo rais...ila umeandika raid rekebisha basi.

Hii ingekuwa Tanzania eti makonda ndo avae hvo...nahisi Magu angemfukuza..ila wakenye wamelalamika sana wengine wanasema Sonko bado ako na utoto haikuwa poa kuvaa hvo.

Ila aliyenivunja mbavu ni Ruto jinsi alivocheka..sijui hata kilichomchekesha hvo nn tu. Ila kenyata bwana...wala hata hakuona kama ni kitu cha ajabu sana.
Hawajaona cha ajabu sababu hawajakaa kiumbea umbea kama tiziiii huku watu wangekesha mitandaoni mwez mzima kuzungumzia ishu ndogo tu icyo na kichwa wala miguu
 
Huyo Senetor alisha wahi kuhojiwa na kituo kimoja cha TV kuhusu mavazi yake majibu yake alisema hawezi kubadi mtindo wa maisha yake kwa sababu ya u Senetor
 
Ilikuwa ni waziri mkuu wa china mkuu siyo rais...ila umeandika raid rekebisha basi.

Hii ingekuwa Tanzania eti makonda ndo avae hvo...nahisi Magu angemfukuza..ila wakenye wamelalamika sana wengine wanasema Sonko bado ako na utoto haikuwa poa kuvaa hvo.

Ila aliyenivunja mbavu ni Ruto jinsi alivocheka..sijui hata kilichomchekesha hvo nn tu. Ila kenyata bwana...wala hata hakuona kama ni kitu cha ajabu sana.
Senetor na Mkuu wa Mkoa ni vitu tofauti ukifananisha unakosea
 
Kenyata alidab daaaah pale ndipo nilipokubali jamaa smart kama jakaya
 
Senetor na Mkuu wa Mkoa ni vitu tofauti ukifananisha unakosea

Sasa kwa Tanzania mji mkuu ni dar.. Kenya Nairobi..Kenya hakuna mikoa kuna county...Nairobi yetu ni dar na mkuu wake ni makonda.kwa hyo tukiwa na ugeni anakuwepo ndo maana nikatolea huo mfano..

Vtu vingine uwe unapotezea basi mkuu wangu au???
 
Hawajaona cha ajabu sababu hawajakaa kiumbea umbea kama tiziiii huku watu wangekesha mitandaoni mwez mzima kuzungumzia ishu ndogo tu icyo na kichwa wala miguu
Ndo mana makampuni ya cm tz yamepiga faida maradufu kwa kuuza data tu toka sakata la bashite lianze. Wamepunguza na vifurushi lln ndo kwanza maizo yanaongezeka kwa kasi
 
Back
Top Bottom