Senegal yaisambaratisha Afrika Mashariki

Kihistoria mpira wa Afrika Mashariki huwezi kuulinganisha na wa Afrika Magharibi. Never. Hivyo yaliyotokea huko Egypt ni halali kabisa.
 
Alianza Tanzania akala zake

Akaja Kenya akala zake akakaa pemneni

Amekuja Uganda amepiga mpaka chumbani

Kweli Senegal ni mume wa Afrika Mashariki
Kenya 0 - 3 Senegal
Tanzania 0 - 2 Senegal
Uganda 0 - 1 Senegal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…