Senegal hawajatutoa kihalali kabisa yani

Si hami afrika kwa sababu haya mambo kwa sababu yana jump jump only in Africa. Africa tunafaidi sana kwenye soka,utawala,elimu na michezo
 
Vipi aliyefunga nae hakumulikwa tochi? Waarabu ndio michezo yao hii, watulie tu.

Ila caf hii ratiba wamezingua saana, hapa mmisri alipaswa aende, ila ndio soka, yule algeria sijui kilimkuta nini nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…