Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

Achana naye mkuu, kapata kaelimu kake kakuunga unga tayari keshakuwa mtaalamu wa kuchambua kila jambo
 
Mi sijaona akili ambayo umeonesha. Sijawah and i am sure it wont happen. Katika maisha kila mtu anachagua nini apende na nini asipende. Inaitwa free will. Kama mimi naridhika na anachofanya na namuunga mkono of all the people si wewe ambaye can change my perception. Hivi kwa nini usijaribu kama unadhani inawezekana? Maana siamini kuwa wewe ni mpumbavuh kiasi hutaki hata kuwa tajiri so unaacha tu mwakasege afaidike huku wewe shida zimekujaa kiakili na kimwili. Maana navyokusoma tu nakuona ni mtu mwenye umaskini kiroho mpaka kiakil.umejaa chuki,husda,ufukara na hasira. Ujinga wangu mimi ni hekima kuliko hekima udhaniayo unayo.mimi ntaendelea kuziunga mkono na wewe hutoweza zuia zisiwepo hata ufanyeje.sana sana utabeba mzigo ambao utakutesa kama unavyoteseka sasa kwa huo umaskini wa kimwili na kiroho.

Hizo semina hazina tofauti na zile za ujasiriamali wanazofundisha Clouds Fm......Sema Mwakasege anatumia dini ili awatapeli zaidi wajinga kama wewe
 
Unadhani hata atakuwa na elimu?mi nikimsoma mtu namna anavyoandika najua hata akili na elimu yake. Ni wale watu ambao alidhani kuwa angekuwa ametoa challenge but finally anakuja kuthibitisha kuwa ni empty set he is just occupied with hate and both physically and spiritually poverty which caused by ignorance due to poor thinking reasoning and brain malnutrition. Nmemsamehe tu

Achana naye mkuu, kapata kaelimu kake kakuunga unga tayari keshakuwa mtaalamu wa kuchambua kila jambo
 
Hivi Seminar hizi huwa zinawasaidia kukabili changamoto za maisha au ni njia ya kujifariji
Linaweza onekana kama swali la dhihaka katika uzi huu lakini ni swali la msingi sana
 
Povu la nini wakati hela hutoi wewe tafuta zako na wewe ukahonge hakuna mtu wa kuingilia matumizi yako
 
Umepewa akili na maarifa.....jitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…