Locked Member Joined Jun 11, 2017 Posts 26 Reaction score 97 Jul 31, 2018 #1 Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu
Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 Jul 31, 2018 #2 Ubarikiwe mkuu, mwalimu Mwakasege ana kipawa kikubwa, Mwenyezi Mungu ampe nguvu na maarifa zaidi
Ova Member Joined Feb 18, 2017 Posts 46 Reaction score 31 Jul 31, 2018 #3 Locked said: Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu Click to expand... Itapendeza sana
Locked said: Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu Click to expand... Itapendeza sana
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,706 Reaction score 57,203 Jul 31, 2018 #4 Mwezi uliopita alikuwa tanga Kisha week mbili nyuma akaja singida nadhani Sasa hivi atakuwa mikoa ya kusini kusini.sina uhakika Sana nikipata taarifa nitapost naufuatilia huu uzi
Mwezi uliopita alikuwa tanga Kisha week mbili nyuma akaja singida nadhani Sasa hivi atakuwa mikoa ya kusini kusini.sina uhakika Sana nikipata taarifa nitapost naufuatilia huu uzi
M Mlamba mchuzi Member Joined Aug 14, 2017 Posts 52 Reaction score 124 Jul 31, 2018 #5 atakuwa Mwanza kuanzia trh 5 hadi 12 mwez Wa 8
waOLDmoshi JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 879 Reaction score 1,753 Jul 31, 2018 #6 Naomba ni subscribe
swai gas JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 384 Reaction score 385 Jul 31, 2018 #7 Mungu akubariki mkuu
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Jul 31, 2018 #8 Safi sana
M Masue 1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 696 Reaction score 1,223 Jul 31, 2018 #9 Locked said: Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu Click to expand... Baada ya kutoka hapa kigoma ujiji alienda singida then kwa ratiba week iliyopita ilikua dodoma udom kwa ajili ya maombi kwa ajili ya taifa.
Locked said: Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu Click to expand... Baada ya kutoka hapa kigoma ujiji alienda singida then kwa ratiba week iliyopita ilikua dodoma udom kwa ajili ya maombi kwa ajili ya taifa.
Locked Member Joined Jun 11, 2017 Posts 26 Reaction score 97 Jul 31, 2018 Thread starter #10 Mlamba mchuzi said: atakuwa Mwanza kuanzia trh 5 hadi 12 mwez Wa 8 Click to expand... Tunashukuru
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Jul 31, 2018 #13 Kwahiyo hii thread itafanya watu wawe waoga humu hawatatuma picha za yue aliyeteuliwa hivi karibuni
Locked Member Joined Jun 11, 2017 Posts 26 Reaction score 97 Jul 31, 2018 Thread starter #14 Nyange said: Kwahiyo hii thread itafanya watu wawe waoga humu hawatatuma picha za yue aliyeteuliwa hivi karibuni Click to expand... Nadhani kuthread kwa ajili ya hayo mambo. Ila hapa itapendeze kama hatutapatumia kwa kazi hiyo.
Nyange said: Kwahiyo hii thread itafanya watu wawe waoga humu hawatatuma picha za yue aliyeteuliwa hivi karibuni Click to expand... Nadhani kuthread kwa ajili ya hayo mambo. Ila hapa itapendeze kama hatutapatumia kwa kazi hiyo.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,474 Reaction score 45,048 Jul 31, 2018 #15 Bora wewe umenena walau tumrudie mola wetu; imefikia hatua wanadamu tunawindana kama wanyama wa mwituni.
Bora wewe umenena walau tumrudie mola wetu; imefikia hatua wanadamu tunawindana kama wanyama wa mwituni.
G Gulwa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 10,990 Reaction score 17,049 Jul 31, 2018 #16 Locked said: Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu Click to expand... Vipi kiingilio na sadaka hachukuagi?
Locked said: Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu Click to expand... Vipi kiingilio na sadaka hachukuagi?
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,706 Reaction score 57,203 Jul 31, 2018 #17 Gulwa said: Vipi kiingilio na sadaka hachukuagi? Click to expand... Asichukue?amekuwa yesu yeye?
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,161 Reaction score 11,263 Jul 31, 2018 #18 Hivi mwakasege hana website? Kama hana basi vijana wa IT dili hili hapa changamkeni.
Mufata JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 254 Reaction score 276 Jul 31, 2018 #19 www.mwakasege.org
D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,391 Reaction score 1,458 Jul 31, 2018 #20 Hivi Seminar hizi huwa zinawasaidia kukabili changamoto za maisha au ni njia ya kujifariji