Semina: Utajiri nyumbani kwako

Semina: Utajiri nyumbani kwako

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
[TABLE="class: MsoTableGrid, width: 571"]
[TR]
[TD="width: 761"]Semina! semina! semina

Utajiri Nyumbani Kwako:

Dar es Salaam
, 08/08/2015.

Ada ni TSH 15,000/=

Kwa mawasiliano: 0719 477 815
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kampuni ya Star Rock ya Ujasiriamali ya jijini Dar es Salaam,inakuletea semina kubwa kwa wajasiriamali itakayofanyika kwenye ukumbi wa
Lekam Royal uliopo Buguruni jijini Dsm.

Njoo ujifunze kutengeneza
-Sabuni za maji,miche
-Dawa ya usafi
-Mishumaa
-Somo linalopendwa na wengi utengenezaji wa batiki

Masomo ya mapishi
-Keki za harusi na jinsi ya kuzipamba
-Karanga za mayai
-Ubuyu wa rangi
-Clips aina zote
-Ufugaji wa kisasa wa nyuki na samaki
-Kilimo cha uyoga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom