jesse alibalio JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 268 Reaction score 49 Feb 3, 2013 #1 Watu wakaanza kujitambulisha (1).Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. (2).Naitwa Stella,niko UDSM mwaka wa 3 public relation. (3).Naitwa Adella,niko Tanesco mwaka wa 4 nasoma mita.
Watu wakaanza kujitambulisha (1).Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. (2).Naitwa Stella,niko UDSM mwaka wa 3 public relation. (3).Naitwa Adella,niko Tanesco mwaka wa 4 nasoma mita.