semeni wenyewe mimi no comment

Ningekuwa mwenyekiti wa chama nampa ubunge wa viti maalumu!!
 
Bado mi nangoja ageuke................nangoja ageuke........''kishanchanganya nataka nione wezere lake ngoja ageuke!!!''.
 
Du! ama kwa hakika ameumbwa na Allah,ila kama hana nizamu na tabia njema ni sawa na nyumba nzuri lakini haina choo.
 
Hapo ndo mjue wanawake ni maua, mapambo shurti kupamba macho ya watazamaji wake kwa waume. Regardless of the hips she is cute mwili laini nyonga imegawanyika ila mie huwa napenda zaidi miguu ya bia sasa sjui anayo au kawekeza milonjo tuu. Yaani mie confidence yangu ni miguu ati shurti nikivaa sketi ya magotini steps nnavojisikia maana sina wasi wasi na miguu inapepetaje huko nyuma....
 
Picha nyingine kutaftiana dhambi tu
Ila huyu si wife material
 
Huyu mtoto ana 'A' kwenye mvuto, sijui hayo mengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…