miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Naona unazunguka tuuu mara mlango huu mara ule mie nakuangalia tu!
Love, care, honesty,usiwe na match za ujirani and ATM yako na pin no yake
Just for love
Tusipokuwa na match ya ujirani mwema perfomance na uzoefu tutaupatia wapi?
Ndo hvyo vp?
Atumie tu elimradi matumizi yangu yasipungue kabisa
Get married to Jesus Christ then.
haha wacheni kujidanganya love ina definition....soma bible utaikuta huko...nyie ambao hamjui definitions ndio maana mnachanganya kati ya love na infatuation
Wakat najarbu kuyafanya hayo yote wadau Watasema umeniweka kwenye chupa,,,,
Itoe hiyo maana ya mapenzi
hahaha njoo pm nikupe siri ili usiwe unatendwa na wanaume lol
Kwani mpaka pm mkuu...sema hapahapa na kwa faida ya wengine
ah wee vipi!? sasa wataka wanawake wote wajue sii mie nitashindwa kupata wakuwagegeda
Conclusion haiwezi kufikia hata siku moja, men and women will never understand each other, men r from mars women r from venus, yaani tuko kwenye parallel lines ambazo ziko sambamba lakini hazikutani!
Jitahd kumtimizia mahtaj yake yakizid sana unapunguza caring akianza kulilia caring unapunguza mahtaj then ka circle kanajirudia maisha yanasonga