semeni mnataka nini

9mm

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
160
Reaction score
106
Salam wanajamvi
Kwa mtazamo wng naona Kila siku zinavyokwenda ndivyo suala la mapenz linazid kuwa undefined,sasa basi,JF ladies hebu funguken,kiukweli mnapenda nn kutoka kwa gents labda inaweza ikasaidia ku generalize na kwa kias fulan tukapata conclusion kuhusu nin mnataka kutoka kwetu.
Naomba kuwasilisha,kama kutakuwa na tatizo la uandishi basi tuvumiliane,,,
 
Love, care, honesty,usiwe na match za ujirani and ATM yako na pin no yake

Just for love
 
Conclusion haiwezi kufikia hata siku moja, men and women will never understand each other, men r from mars women r from venus, yaani tuko kwenye parallel lines ambazo ziko sambamba lakini hazikutani!
 
mapenzi ya dhati kutoka kwa muhusika.kuheshimiwa.kuthaminiwa.kusikilizwa.kurekebishwa tunapokosea.wivu usiopitiliza.
 
Reactions: 9mm
Hivi ushawahi kuona wapi swala anamuwekea masharti Simba mla nyama...
 
mapenzi ya dhati kutoka kwa muhusika.kuheshimiwa.kuthaminiwa.kusikilizwa.kurekebishwa tunapokosea.wivu usiopitiliza.

Kuna point nimepata hapa,,
 
funguken basi..........au na nyie hamjui mwataka nini...?
nawasilisha........
 
Jitahd kumtimizia mahtaj yake yakizid sana unapunguza caring akianza kulilia caring unapunguza mahtaj then ka circle kanajirudia maisha yanasonga
 
Reactions: 9mm
read this book once! and the confusion between the martian and the venus is there cause the venus(women) dont exactly knw what they want!
 
Tusipokuwa na match ya ujirani mwema perfomance na uzoefu tutaupatia wapi?

Kila mwisho wa mwaka tutaalika team za ujirani mwema tutathimini performance ke na me

Just for love
 
its all about love which lead to the following:
  • money
  • respect
  • care
  • security
  • happiness
  • funny
  • jokes not too serious
  • development
 
Naandaa thesis hapa,once nikijaaliwa miaka 90 nitajua wanachotaka ladies!
 
Love is unconditional...kila mtu atakuja na mtazamo wako....ila hii ktu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…