Semen Analyisis

sinide

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
459
Reaction score
486
Wakuu naomba msaada hiyo result kama inaweza zalisha
 
Angalia results zako Vs Normal reference results , kuna mahali sample ipo sawa ila kuna vipengele bado vina shida , haswa Kwenye WBCs na RBCs . Kwani daktari kakuelezaje mkuu ?
 
Angalia results zako Vs Normal reference results , kuna mahali sample ipo sawa ila kuna vipengele bado vina shida , haswa Kwenye WBCs na RBCs . Kwani daktari kakuelezaje mkuu ?
Hapo ndo nataka ufafanuzi effect ya WBC na RBC
 
Kwani hujawah zalisha? Siku hizi hospital ukipimwa hupew ufafanuz wa majibu yako?
Shukran mkuu...japo hujajib swali umeleta taarabu.....ningekuwa nimepata ufafanuzi nisingekuja jukwaani
 
Ngoja wataalamu waje,ila tafuta bekitatu mbichi test mitambo asipobeba ujauzito basi kunatatizo.
 
Haya maisha hayaishi maajabu,,, yaan wakati mimi natafuta njia rahisi ya kuzuia mbegu zangu zisiwe na uwezo wa kuzalisha, kuna wengine wanataka kuzalisha.

Asee anaefahamu birth control for male tofauti na condom, vasectomy, pull out naomba anijulishe. Leo mwaka 2023 mchele kilo inauzwa shillingi 4000 je mwaka 2030 itauzwa sh ngapi na uko na familia ya watu wengi.
 
Kazi rahisi tu ukitaka mbegu zako zisizalishe kama una Computr ya aina ya Laptop iweke mapajani mwako kila unapo itumia na simu yako iweke mfuko wakulia na uwe unapiga punyeto kila baada ya siku 3 na pia Vaa chupia ya boxer inayoweza kubana makende yako 2 basi hapo mbegu zako za kiume zitakufa kabisa na utakuw huwezi tena kuzalisha .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…