Vipi wadau, kuna lijizee mmoja ambaye alijaribu kuhifadhi chakula tumboni mwake kwa siku nne ili asile kwa muda huo! Lakini ikashindikana kwani alikula hadi akakosa nafasi ya kupumua! Ika bidi kupelekwa hospitalini ili kufanyiwa oparesheni ya tumbo ili atolewe chakula.