Wadada wa kwwnye hiyo picha wamevaa vichupi (bukta ni vidogo miili nikubwa) juu ya skin tite badala ya kuvaa vichupi ndani ya skintite.
Kuna mmasai hapo kati ( wa kiume)amevaa kabukta ka kijani juu ya skin tite. Macho yake yanatizama wenzere wa dada aliyeshikiliwa nyonyo yake isidondoke.
Aliye enda kununua jezi za mazoezi hakuchukua vipimo mapema vya wachezaji. Aidha wali enda kununulia China.