Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Mwanaume niliyemzidi hela wa nini sasa?ni bora tuwe masikini wote tu nijue moja asee
Hizo mambo wanaweza watakatifu labda
[/QUOT
kumbe mwanaume ni yule usiye mzidi hela sio
basi utakuwa humpendi, kumhudumia kitu cha kawaida sana kwa umpenadye kwa dhatiWote wanaume ila nikivaa uhusika wa kuhudimia mwanaume ni ngumu bhana niache unafiki
basi utakuwa humpendi, kumhudumia kitu cha kawaida sana kwa umpenadye kwa dhati
badilika iyo kizamani sana, kaa naye huwezi jua kesho yake itakuwajeAfadhali iwe siku moja moja akiwa hana ila kuhudumia kila siku,kila kitu ni ngumu hata kama nampenda vipi lazima nitatibuka kila akiniomba
badilika iyo kizamani sana, kaa naye huwezi jua kesho yake itakuwaje
Ukimhudumia halafu ikatokea siku ya siku ukaachishwa kazi yeye akapata kazi nzuri utafanyaje itabidi uondoke umuache aendelee na maisha yakeNi kweli siwezi kujua kesho yake ila kuhudumia mwanaume ni suala lililo nje ya uwezo wangu...siwezi kuvumilia kiumbe cha hivyo