Sema neno hapa

Dogo wa kiume ana mapenzi ya dhati kwa dada yake, dada hajali kabisa
 
Anachokifikiria mtu ni Siri kubwa. Hapo mmepata bahati ya kuwakilishiwa baadhi tu ya maneno! katika fikra za binadamu. Na usilio lijua ni usiku wa kiza.
 
Kwa umri wa hawa watoto wanaweza kuandika achilia mbali kuzungumza? Huo mwandiko ni wa mtoto mdogo? kama siyo ni mtu mzima kawaandikia inamanisha anaweka maneno midomoni mwao kitu ambacho sio sahihi. hata kama kuna ujumbe wanataka kufikisha sio kwa kupitia watoto wadogo kwa vile hata kwenye vitabu vitakatifu waanachukuliwa kama malaika.....
 
Dada anamwonea wivu mdogo wake..upendo wa baba na mama anaona umehamia kwa mdogo wake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…