Sema na hii picha, toa maoni yako

Sema na hii picha, toa maoni yako

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11129481_787551551351748_139611717_n.jpg
 

Attachments

  • muuza sura.jpg
    muuza sura.jpg
    27.2 KB · Views: 375
Bora kuwa mtu mzima ukawa na maamuzi yako kuliko kuwa mdogo ukalazimishwa kufanya vitu au kazi sizizoendana na umri wako
 
Huyo mtoto alobebeshwa vitofali atakomaa kabla umri wake kwa child labour!!Poor kiddo 🙁
 
Mwanamme ni yule anayepinga vikali maswala yote ya kipumbavu na kijinga kijinga kama:
Ushoga
Ukabila
Uchoyo
Chuki
Kuingilia vitu visivyomhusu
Usaliti wa kipumbavu
Dharau za kijinga
Umario
Wizi
Udhalilishaji
Ujuha
...
 
umenikumbusha huyo dogo niliwahi kumuona kwenye habari fulani BBC, nu ugumu wa maisha tu.
ila bora huyo kuliko hicho kinachowaza viduku
 
Back
Top Bottom