mbona kwenye misiba mnakunywa mabia, pome za kienyeji n.k je? hizi sio starehe, mbona kwenye misiba sikuizi marehemu anasafirishwa na gari la kifahari na gharama za juu mpaka makaburini je hii sio starehe? kuna hadi mziki unafungwa skuizi, kuna kuwapamba wafiwa skuizije hizi sio starehe? vipigwe marufuku