Ibrah ole kadabrah
Member
- Sep 9, 2019
- 6
- 7
Hakuna dhambi na wala sio dhambi kusema ukweli ila kinyume chake tu.
Kwanini nimeanza na na sentesi hiyo hapo juu kwanza hakuna mwanadam yoyote chini ya jua aliyekamilika sote tu wapungufu japo mapungufu hayo tunatofautiana kama hivyo ndivyo bas mkamilifu pekee ni MUNGU tu. inashangaza na kusikitisha unapoona baadhi ya binadam/ watu wapo ama wana kuwa mstari wa mbele kukosoa mambo ya wenzao ilhali ya kwao nyuma wapo na mapungufu makubwa sana
.
MFANO; Hapa kwetu TANZANIA hakuna kipindi ambacho tunaona nchi ikipiga hatua kubwa tena kwa muda mfupi sana maendeleo ya watu, heshima, ukuwaji wa uchumi pamoja na miundo mbinu kama kipindi hiki sio kama huko nyuma havikuwepo vitu iv hapana vilikuwepo ila sio kwa muda mfupi kama ilivyo sasa, anagalizo kama unasoma ukiwa na mawazo negative unaweza usinielewe namaanisha nini ila ukitaka kunielewa wacha ubongo uwe huru.
Nidhamu ya watendaji wa Serikali iemekuwa kubwa kiasi kwamba zile kauri za unanijua mimi nani siku hizi hazipo tena ili nchi yoyote ile iendelee lazima kwa nyakati fulani ipitie maumivu kidogo kama haya ambayo wewe mwenye mawazo mgando na usiye taka kufanya kazi unayapitia
Sasa kumeibuka wimbi la watu wengine tena viongozi wamekuwa mstari wa mbele kukosoa na kusema viongozi waliopo madarakani kwa mapungufu yao ya kibinaadam ambayo hata angekuwa yeye angekuwa nayo tu as long ni mwanaadam mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunahitaji watu kama Mh. dkt Magufuli Afrika kama watano tu tungeshuhudia Afrika ile ya kina Hayati Baba wa Taifa mwl Nyerere, Hayati Robert Mugabe, Hayati Nkrumah, Hayati Mandela na wengine wengi tusingeyaona haya yanayoendelea kutokea miungoni ya nchi Afrika.
Tanzania tumepata bahati ya kuwa na Rais Magufuli lakini wachache hawaoni umuhimu wake wamezoea ujanja ujanja tu katika kuendesha maisha yao sasa milango ya wizi imefungwa basi kelele zimekuwa nyingi mimi nasema tumpe muda mambo mengi mazuri yanakuja stay tune.