tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Tupo maeneo ya Gongo la mboto ila ukitutaka popote tunafika mkuusorry mwapatikana wapi ? Au mko nchi nzima? Nomba unijuze maana nawahitaji sana!
Ohooooo, kumbe mpo Gongo la mboto, basi nikajua labda mpo Mikocheni basi...Tupo maeneo ya Gongo la mboto ila ukitutaka popote tunafika mkuu
We itakuwa mfanyakazi wa dawasco tuMaeneo yakuchimba visima dar yakowapi kama sio kulishana uchafu tu suluu la maji dar ni dawasco
Dawasco bado ni suluhisho pekee la huduma ya maji kwenye jiji letu wengni ninyi ni wafanyabiashara.Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana na Tawa Water Proffesional ili wakusaidie kupata kisima chako kwa bei rahisi kabisa. Tawa Water Proffesional ni kampuni bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma bora za uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu za maji.
Bei zetu ni rahisi saana kupita maelezo. Usidanganyike na matapeli wa mjini watakupa hasara njoo uhudumiwe na watu wenye uzoefu wa hali ya juu katika fani hio.
Piga simu namba 0655541948/0628080096
Karibuni saana tuwahudumie
Acheni kuwalisha watu uchafu viwanja vingi vya dar ni 30 kwa 30 utachimba kisima gani cha maji Safi apo apo karo la choo Na maji takaWe itakuwa mfanyakazi wa dawasco tu
Ovaa
Mkuu wangu ungefanya hivi..Njoo tukuchimbiye kisima chako kwa bei rahisi
Bei rahis n kwa maneno, heb andika bei rahis kwa tarakimuNjoo tukuchimbiye kisima chako kwa bei rahisi