Sema Ameeen..!!

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
291
Reaction score
198
MAISHA YANA VITU 7;

1:- Furaha.
2:- Karaha.
3:- Misukosuko.
4:- Majonzi.
5:- Migogoro.
6:- Mikasa.
7:- Chuki.

Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa uwe na mambo 4.

1:- Subira.
2:- Uelewa.
3:- Uvumilivu.
4:- Msamaha.

Lakini katika maisha yako pendelea sana kuwa na mambo 4.

1:- Msimamo.
2:- Mkweli.
3:- Ujasiri.
4:- Imani.

Ila epuka sana mambo 5.

1:- Udanganyifu.
2:- Uchoyo.
3:- Ubinafsi.
4:- Wizi.
5:- Kufitinisha.

Kumbuka kumjali anaekujali hata kama yupo mbali nawe.

Mpende anaekupenda hata kama hana kitu jali utu kuliko kitu.

Ibada kwa Imani yako ndio Nuru yako Duniani na Mbinguni

Eeee Mungu tupe Mwisho Mwemaa!!!


Sema Ameen.
 
usipowatumia watu 10 hii sms "utapata tabu sana" kutoka kwa sir. God
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…