OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,878
- 9,743
Just imagine umezaliwa ukiwa punda ila hutaki kuwa punda unataka kuwa pundamilia kwa sababu unaamini jamii inayokuzunguka inapenda pundamilia, na mungu kakuumba hivyo unatembea na maumivu makali ktk nafsi unaamua kupaka mistari ya rangi nyeusi ili uwe pundamilia. Je unamiliki duka la vipodozi?
Ni faida kiasi gani unaingiza kwa mwezi? Wadada wengi wamekua na mtindo wa kujichubua ili wawe weupe wengine wakipaka makeup!
Huu ni urembo, neno urembo linatokana urimbo (gundi inayotumika kunasa ndege) je huu urembo nao unakazi gani?
Kisaikolojia mtu mwenye self image iliyoharibika/mtu ambaye hajikubali anaeishi kwa taswila ya mtu mwingine. Watu hawa huishi na maumivu makali ya milele ktk fikra zao ? Inaendelea
...
................................
UPDATES

Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499