Self contained rooms for RENT IN ARUSHA.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,976
Wadau,

Kuna chumba na choo chake(self contained) na sebule yake pia kuna jiko dogo pamoja na parking ya gari moja.BEI ni 150,000/= kwa mwezi,anataka miezi SITA plus mwezi mmoja wa dalali.

Chumba na choo chake (self contained) na kina jiko lake dogo.Pia kuna parking.Bei ni 100,000/= kwa mwezi,anataka miezi SITA plus mwezi mmoja wa dalali.

VYUMBA VYOTE HIVYO VIPO SILLENT IN, SAKINA ARUSHA.Takribani mita 200 toka barabara kuu ya Namanga/Nairobi.

Mawasiliano: 0787140432 au PM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…