Selections za DIHAS Dodoma

Selections za DIHAS Dodoma

Costa Nembuka

Member
Joined
Mar 29, 2018
Posts
7
Reaction score
7
Naomba kuuliza kuhusu selections za chuo cha afya Dodoma,DIHAS wanautaratibu gan katika kuachia selections zao??
Kama kuna mtu alipitia hapa naomba mawazo.
 
Naomba kuuliza kuhusu selections za chuo cha afya Dodoma,DIHAS wanautaratibu gan katika kuachia selections zao??
Kama kuna mtu alipitia hapa naomba mawazo.
Selection zipo out kwa vyuo vyote vya govt so..ingia kwenye profile yako utataona if you are selected or not
 
Back
Top Bottom