imepelekwa mbele na tcu hd trh 6Wata weka mda gan xx wakati mzumbe wamesame trh3 2nd selection zna anza
Avn au?
Naomba msaada jamani nataka kujua kuhusu open university , na jee kumesajiliwa na nacte, na jee wanatoa degree na ifa gn za kujiunga?Avn au?
Avn? Haha cyo hiyo ni code namba unatumiwa kwa sms asee, upo dunia gan, sorryAvn au?
Ingia hapa out.ac.tzNaomba msaada jamani nataka kujua kuhusu open university , na jee kumesajiliwa na nacte, na jee wanatoa degree na ifa gn za kujiunga?
TCU wamesema kabla ya tarehe 5/9/2018 YAANI TAREHE 4.9.2018 SAA 5.59 USIKU NDIO MWISHOimepelekwa mbele na tcu hd trh 6
OkTCU wamesema kabla ya tarehe 5/9/2018 YAANI TAREHE 4.9.2018 SAA 5.59 USIKU NDIO MWISHO
Nami nna kigagaziko hapoTCU watoa majina kwa walio chaguliwa vyuo vikuu zaid ya kimoja 2018/2019 je kwa wale walio chaguliwa chuo kimoja majina yao wap??
hicho ni kituko. code zenyewe hadi sasa bado...TCU wamesema kabla ya tarehe 5/9/2018 YAANI TAREHE 4.9.2018 SAA 5.59 USIKU NDIO MWISHO
UDSM hawajatoa majina mpaka sasa, hata code zikitoka tunaconfirm vipi?hicho ni kituko. code zenyewe hadi sasa bado...
Kuna MTU hajapata code mpaka sasa?UDSM hawajatoa majina mpaka sasa, hata code zikitoka tunaconfirm vipi?