Selection za second round zinatoka lini?

David kulwa

Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
29
Reaction score
2
Wana JF naomba kuuliza et majina ya second selection yana chukua mda gan had kutolewa
 
Inashangaza sana kuona coordination kati ya TCU na vyuo inapokuwa ndogo namna hii.. TCU imeongeza muda was third round kwa siku tatu na deadline kuwa tarehe 18 wakati huo huo hakuna chuo ambacho kishatoa selection za second round ili waliokosa second rough wajaribu bahati zao. This is so sad
 
Kwakeli Na inakera mnoooo...wananiboa Na hii system..aisee
 
Back
Top Bottom