Never on the earth mkuu, Mwaka huu baada ya matokeo serkali ilitaka kushusha sifa za kuchukua wanafunzi wa kwenda form5 sababu matokeo yalikuwa mabaya na kupelekea hata idadi ya watakaoenda advance wawe wachache sana, Lakin baada ya uchakataji serkal ikaghahiri kufanya uamuzi huo kwan tayar idadi imeongezeka.