Ushauri ww bure kwa wale ambao wana shindwa kufungua pdf files zote kuepusha hilo nend play store kwenye cm ako den free apps afu andika WPS office den idownload hiyo app baada ya hapo utakuwa huru kufungua document yoyote utakayo download utajiepusha na kuomba mtu fulani akusaidie kufungua file fulani