kwanza nikupongeze dogo, mbona upo matawi, kwa elimu ya kitanzania hata mwenye div 5 naye ataenda maana si unajua madarasa kibao na hayana wanafunzi, mtindo ni ule ule wa primary kwenda sekondari, hata asiyejua kusoma na kuandika naye anatinga form 1, anza tu kupasha, form five yako.