Mi mwenyewe nimehangaika kuitafta hiyo link sijaipata........naskia selection za darasa la 7 huwa hawaweki online......kwaiyo jaribu kuwasiliana na walimu wa shule aliyokua anasoma huyo mtoto
Au kama unaharaka zaidi ya kuyapata jaribu kuwasiliana na watu halimashauri idara ya elimu......wilaya aliyokuwa anasoma huyo mtoto
mwaka huu darasa la 7 wameweka mtandaoni? maana najua kila mkoa walimu wakuu ndio wanachugua wanafunzi means majina ya waliofaulu yanaenda mkoan, ila vizuri kama wamefanya ivo