Jordan University College Morogoro wametoa majina ya waliochaguliwa na tcu kujiunga na
shahada mbalimbali. Link http//morogoro.sds.org/TCU%students%20selection%202013%20aug.pdf Nawasilisha
Ni constituent ya SAUT kijana kwahyo unataka useme havina uhusiano.
naomba unijibu. we ni finder ,then go and find out after finding out come and tell us what you found out Finder boy
Ni constituent ya SAUT kijana kwahyo unataka useme havina uhusiano.
naomba unijibu. we ni finder ,then go and find out after finding out come and tell us what you found out Finder boy
SAUT inajitahidi kufungua branch na kudahili idadi ya wanafunzi wengi sana.
Naipongeza kwa hilo.
Pia napata mashaka sana kama ina monitor vizuri quality ya elimu inayotolewa na extensions zake.
Kuna siku nilienda branch yao Nyegezi pale Mwanza.
Nilikuta vijana wamejazana (wengi wao walikiwa wanachukua degree mbali mbali za education) ndani ya darasa (lecture room) ambalo halistahili hata kuwa darasa la A level.
Vijana wale walikuwa wamejazana kiasi kwamba wengine walikuwa wanasikiliza ile lecture wakiwa madirishani na sauti ya mkufunzi ikisikika kwa shida sana.