Selection diploma UDOM

Selection diploma UDOM

huston

New Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Kwa anayejua lni udom wanatoa selections za diploma make wanazingua. Sanaa
 
washatoa bado wanaendelea tena kutoa
Mkuu nimeona First Batch tu hasa kwa college of health science wametoa ijumaa iliyopita vip kutakuwa na Second batch tena kwa colleges zote???
 
nilivyoooulziaaa niliambiwa bado wanaendelea kutoa maana idadi walioonesha na waliyotoa nitofauti kabisaa itakuwa wanaendelea kutoa mkuuu kama walivyonipa maaelekezo
 
Back
Top Bottom