Selected candidates academic year2015\2016

sirikambi

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
287
Reaction score
54
Wakuu,wale walioomba kupitia TCU kwa kutumia diploma majina nasikia wiki ijayo.Je,inawezekana na vyuo husika wakaanza kutoa joining instruction???
 
mungu wangu kweli brn inafanya kazi yake, tcu kwa kupitia diploma ndo kitu gani??????????????
 
Walioapply degree kupitia nacte
 
mungu wangu kweli brn inafanya kazi yake, tcu kwa kupitia diploma ndo kitu gani??????????????

nyie ndo huwa mnafeli hata mitihani,mie nimeandika hivo kweli?nimesema walioomba kupitia TCU kwa kutumia diploma kwa maana kwamba kuna watu waliapply vyuo vikuu kwa sifa ya kuwa na diploma zinazotambulika na NACTE ambapo huyu jamaa wa chini hapo ndiye kanielewa.Ndugu,sikulaum kwani kihelehele chako ulikuwa nacho toka shule ya msingi,nashangaa hadi leo!!!!!!!!!!!!!!??????????
 
Wakuu,wale walioomba kupitia TCU kwa kutumia diploma majina nasikia wiki ijayo.Je,inawezekana na vyuo husika wakaanza kutoa joining instruction???

university huwa hakuna joining instructions,,, so we ukiona tu jina mtandaoni tafuta ujue siku ambayo chuo kinafunguliwa uende
 
mungu wangu kweli brn inafanya kazi yake, tcu kwa kupitia diploma ndo kitu gani??????????????

ameandika kwakutumia na si kwakupitia soma twna vizuri. sisi waalimu tumezoea kusoma mikorogo ya sentensi wala sijashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…