Jonas Johnson
Member
- Oct 13, 2017
- 14
- 2
- Thread starter
-
- #21
Saw mkuu nimekuelew so kumbe cio ishu kubwa san kivilUmechaguliwa na chuo ila wao ndio wana tatizo na tcu. Chuo wenyewe watashughulikia baada ya siku mbili tatu hiyo status/remaks itaondoka. Hata kwa udsm ilitokea.
Huyo anazo sifa za kuingia chuo hana shida. Shida ipo kwao kama wamempangia course ambayo hajakidhi cut point.Saw mkuu nimekuelew so kumbe cio ishu kubwa san kivil
Broo ishu ni hii selection za juz kwamb ka be selected but not approvedHuyo anazo sifa za kuingia chuo hana shida. Shida ipo kwao kama wamempangia course ambayo hajakidhi cut point.
Ondoa hofu.
Kwani yupo course gani na ana matokeo gani?
Na wala hajapigiwa simu?Broo ishu ni hii selection za juz kwamb ka be selected but not approved
Walitoa namba ili washughulikie tatiz sas ishu inakuj namb zao hazipatikan tukawatumia kweny email yao tatzo still hawajibu emailNa wala hajapigiwa simu?
Kama simu uliyopewa haipatikani, email unategemea itapatikana na itakuwa njia ya uhakika?Walitoa namba ili washughulikie tatiz sas ishu inakuj namb zao hazipatikan tukawatumia kweny email yao tatzo still hawajibu email
Hongera mkuu but hichi chuo kinaonyesh ni wazemb kwel coz mpak now wanatuacha njia panda sjui kam atafanikiw kuanza masom tareh30Mimi pia nlikuwa nimechaguliwa chuo flani ila sikuwa approved, baada ya siku mbili wakatoa majina ya watu waliokuwa approved.
Juzi kati Jumatano kuna chuo kikuu kingine kikanipigia simu na kuniambia kuwa wameshatatua hilo tatizo. Kwahiyo tatizo ni mvutano kati ya vyuo na tcu.
Chuo wameshakuselect ila tcu ndio wanakaza kwamba huna vigezo, ndio maana ya selected but not aproved, na watakaoaprove ni tcu.
Nadhani ni hasira za tume baada ya kuzuiwa kudahili wanafunzi.
Hiv anawez anza masom huk ana shughulikia approvedMimi pia nlikuwa nimechaguliwa chuo flani ila sikuwa approved, baada ya siku mbili wakatoa majina ya watu waliokuwa approved.
Juzi kati Jumatano kuna chuo kikuu kingine kikanipigia simu na kuniambia kuwa wameshatatua hilo tatizo. Kwahiyo tatizo ni mvutano kati ya vyuo na tcu.
Chuo wameshakuselect ila tcu ndio wanakaza kwamba huna vigezo, ndio maana ya selected but not aproved, na watakaoaprove ni tcu.
Nadhani ni hasira za tume baada ya kuzuiwa kudahili wanafunzi.
Shukrani kwa Mungu.Hongera mkuu but hichi chuo kinaonyesh ni wazemb kwel coz mpak now wanatuacha njia panda sjui kam atafanikiw kuanza masom tareh30
Sidhani. Admission ikiisha ndio basi tena.Hiv anawez anza masom huk ana shughulikia approved
Poa broo ngoj tuone but still ni mbal Dar mpak dodom mipangoShukrani kwa Mungu.
Kama yupo karibu na chuo angeenda tuu ajue inakuwaje. Ila nadhani kesho selection nyingi zitatoka atakuwa ana jibu.
Dogo sio hasira,wanafanya kazi kwa kufuata vigezo,chuo kinataka ada yako kijieshe,that is why TCU wako hapo kati kuregulate haya mamboMimi pia nlikuwa nimechaguliwa chuo flani ila sikuwa approved, baada ya siku mbili wakatoa majina ya watu waliokuwa approved.
Juzi kati Jumatano kuna chuo kikuu kingine kikanipigia simu na kuniambia kuwa wameshatatua hilo tatizo. Kwahiyo tatizo ni mvutano kati ya vyuo na tcu.
Chuo wameshakuselect ila tcu ndio wanakaza kwamba huna vigezo, ndio maana ya selected but not aproved, na watakaoaprove ni tcu.
Nadhani ni hasira za tume baada ya kuzuiwa kudahili wanafunzi.
Kwakuanzia hebu ondoa hilo neno dogo.Dogo sio hasira,wanafanya kazi kwa kufuata vigezo,chuo kinataka ada yako kijieshe,that is why TCU wako hapo kati kuregulate haya mambo